Hii miradi inaifanya Nairobi kuwa zaidi ya Ulaya; wenzetu njooni mtalii, hamna haja ya kwenda Ulaya kushangaa shangaa

Wakenya washamba sana asubuhi na jioni huwa watu wapo wengi hiyo ni kawaida nchi yoyote alafu lazima changamoto ziwepo.Ebu wakenya leteni mradi wowote mzuri kama huu kenya nzima.
 
Nlikuwa natafuta mtoa thread Ni Nani?Bado mwezi mchanga ,msimuamini,
 
Hehehe!!!! Hawa ni balaa, haya mabasi wanayaingilia hata dirishani ila wanakuambia wanataka wafanane na Ulaya...


Haya ni mambo ya vijijini zama zile kabisa, jamaa hupitia dirishani kw sababu kulikua na uhaba wa vyombo vya usafiri..
 
HAHAHAHAHAHAHAHAH 🀣 🀣 🀣 🀣 😹 😹 😹 😹 πŸ™Š πŸ™Š πŸ™Š πŸ™Š AIBU ILIYOJE?
 
Typically a Kenyan way of creating "new FISADI's ".If among u benefited from Covid19 fund..I'm sure some of 700m Kshs will end up in some peoples pockets..I wonder why Kenyan never learn from their mistakes..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…