Hii misemo ya Kimarekani ina maana gani?

I don't give a shit

Imeakaaje hii
 
I don't give a shit

Imeakaaje hii
Hii maana yake kwamba sijali/sina nia au pale mtu aapoulizwa kuhusu mtu/kitu au jambo fulani kwa kiingereza inaendana na kusema i don't care..mfano anaweza kusema '' i dont give a shit about what kind job is as long as i make some money'' maana yake ''sijali ni kazi ya aina gani cha msingi nategeneza pesa''
Pia linatumeika sawa sawa na kusema ''i dont give a fucvk'', ''i dont give a damn''
 
1.,Scratch my back I will scratch yours = Ni aidie nikusaidie
2.As a matter of fact= Kutokana na ukweli huo
3.Don't Fcuk with me = Acha kunizingua
4.Kick your ass = nitakufumua ( nitakupiga)
5.Goddamit = Mungu wanguu
 
Shukrani bro
 
Bro hiyo scratch my back I will scratch yours huoni imejificha,zote2 zinanitatiza mkuu,,na Hiyo goddaaaamn

Scratch my back I will scratch yours inamaana unanisaidia ndio na Mimi nakusaidia. Yaani ni jambo linafanyika kwa pande mbili.

Unanipa kitu, nakupa kitu hakuna pungufu.

Sio ile ukituma nauli inaliwa, hapana.
 
Mkuu Shukrani sana,,Na hizi je.."Don't get twisted,Switch inside,Nigga Su"?
 
Bro Shukrani sana🙏🙏
 
Aaanhaa The Breakfast club by Deejay mwenye mawivu yake"Envy"Nna muda sijaifatilia,kumbe saivi Ni 105.1..ilikua 106.1,,Daah we chalii kumbe unaifatilia hii show..Noma kweli..Uko yente Babaa
Jingle inaruka kwenye The Breakfast Club ya Dj Envy,Chalamagne na Angela Yee,,Power 105.1 New York.
 
Mkuu Shukrani sana,,Na hizi je.."Don't get twisted,Switch inside,Nigga Su"?
1.dont get twisted pia kuna mandari inaweza kutumika kama kuonya mtu asfanye kitu cha kijinga ili asijekudhurika mfano'' dot get twisted out here or you gonna get hurt'' maana yake usifanye kitu cha kijinga utaumia.
Pia inaweza kutumika kumrekebisha mtu asipate maana tofauti ya maneno mtu anayomuambia au aliyo sikia mfano/ au kutilia maananani maneno au ujumbe uliotolewa '' nigga don't get twisted he doesnt mean it what yuo think'' maana yake '' mzee usichanganyikiwe hamaanishi unachofikiria'' pia inaeedana na neno ''don't be trippin'' katika mandhari hii.

2. Switch inside sijaeilewa sana ila kuna msemo pia unaendana na huu uko ''switch side'' maana yake ni ''tubadilishane'' mahala/sehemu/muonekane kwa lengo la kutoonekana..mfano ''lets swicth sides so she cant see us'' maana yake hebu tubadilishane ili asije akatuona''

3. nigga su hii siifahamu vizuri ila ina maana yake ninayoijua na msemo wa wahuni wa kundi ''gang'' la vijana la kimarekani linalojulikana kama ''bloods'' kama kiashiria cha kujitambulisha amabapo husema ''suu woop'' kwahiyo anaweza akasema ''nigga su'' akijitambulisha yeye ni ''blood'' mfano nyimbo nyingi za ''The game'' au movies wanazoigiza kuhusu makundi haya huo ndo utambulisho wa ''blood gang''
 
check the sound=hapa inategemea na ilivuotumika kwenye sentesi, ila maana yake ya moja kwa moja ni angalia sauti/ mziki
scratch my back i scratch yours=nisaidie nitakusaidia/nitunze nitakutunza/niangalie nitakuangalia
As a matter of fact=lakini kwa usahihi zaidi/lakini kwa uhakika zaidi/lakini kwa uhalisia zaidi/lakini kiukweli zaidi
Dont https://jamii.app/JFUserGuide with me=usiniletee usenge/ usinizingue
kick your ass=ntakufumua/ntakupiga
goddamn= umelaaniwa (na mungu)/mpuuzi /fala/mjinga (inategemea na ilivotumika kwenye sentensi)
 
Thanks a lot bro,,Ntakua nakucheki unanisaidia baadhi ya misemo kuhusu hii lugha Mkuu🙏🙏 ...Kuhusu nigga su kutokana na jinsi ulivoelezea apo, kunae Ngoma ya YG pia inaitwa 'Suu whoop',,Ko nahisi ndi mulemule Chaliangu...Salute sana DAN LOKOMOTIVE
 
Salute sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…