Hii miss IFM

ramson34

Senior Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
109
Reaction score
4
mamiss wabaya hawana mvuto kabisa yaani natamani nirudishiwe kiingilio changu..
 
Kama hawa wa Miss Kurasini??
 

Attachments

  • miss kurasini.jpg
    30.9 KB · Views: 159
I made the same comment jana nilipowaona kwenye gazeti

watoto hawana sifa kabisa jamani......hivi nani aliandaa hili shindano la ifm?
 
Siku hizi kila mtu ni 'miss', we're really missing somein', kama mambo ni hivi
 


Mshindi wa shindano la Miss IFM Frola Martine akiwapungia mkoano mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Polisi oficers Mass oysterbay jijini Dar es Salaam, baada yakuwashinda walimbwende wenzake kumi na moja.
 

Washiriki wa shindano la miss IFM Chuo cha usimamizi wa Fedha , wakiwa katika picha ya pamoja katika vazi la ufukweni katika shindano lililofanyika ukumbi wa polisi oficers Mess Dar es Salaa.
 

Miss Bagamoyo Namba moja (katikati) Magreth Akonay akipunga mkono wa furaha baada ya kuchukua taji hilo Kulia kwake ni mshindi wa pili, Zainabu Ally na kushoto kwake ni Winnifrida David mshindi wa tatu.


Shindano la kumsaka mlimbwende wa Miss Vodacom Bagamoyo 2010 jana lilifikia tamati katika Ukumbi wa Chuo cha Sanaa cha Kaole mjini Bagamoyo baada ya Magreth Akonay kunyakuwa taji hilo na kitita cha shilingi laki tatu.​


Shindano hilo liliandaliwa na Kampuni ya Asilia Decorations chini ya udhamini wa Kampuni ya Simu za Mikononi ya Vodacom​
 


Daaa bado sana hawa mamiss, kwa mtindo huu miss world kutoka bongo ni ndoto.Majaji tuwe makini jamani tusichague washindi kwa malengo yetu binafsi, ni vema tuchague mtu ambaye ataleta ushindani kwenye mashindano ya ngazi ya juu (Taifa na Kimataifa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…