Niliwahi skia n dalili ya kua kibonge
Ni kweli hujakosea
huwa naipenda sn kwa my wife wangu, nikiichungulia huniamshia hisia za ku do!
Mi siipendag unakuta mtu kavaa kata mikono miraba njenje
nilikua siiipendi mimi ipo katika hips na kalio mikononi hamna
ila Ex wangu aliniambia nisiitoe ni kama kachumbari flan
sijui kweli kwamba mtu akiichek mashetan yanapanda
mmmh
Inategemea "ntu na ntu".
nilikua siiipendi mimi ipo katika hips na kalio mikononi hamna
ila Ex wangu aliniambia nisiitoe ni kama kachumbari flan
sijui kweli kwamba mtu akiichek mashetan yanapanda
mmmh
...weka picha mkuu ili tuwe level moja ya mjadala,wengine hatujaiona...
Weka picha, lakini peleka kwenye Jukwaa husika.