Hii mistari ni Moto🎤🎤

Hii mistari ni Moto🎤🎤

Mr possibility

Senior Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
175
Reaction score
134
Aliyekupa wewe hajanisahau
Nina imani hatakama mda bado
Kukata tamaa kwangu nishasema mwiko
Bado nipo,jana na leo
mmmhh🎤🎵🎵

Tunapambana japo nasi tuwe mbali🎼
Na matatizo tumeyageuza morali🎶🎶
Iwe kwa hali au hatari
Sawaaaa🎤

Vipi niendelee??
 
Aliyekupa wewe hajanisahau
Nina imani hatakama mda bado
Kukata tamaa kwangu nishasema mwiko
Bado nipo,jana na leo
mmmhh🎤🎵🎵



Tunapambana japo nasi tuwe mbali🎼
Na matatizo tumeyageuza morali🎶🎶
Iwe kwa hali au hatari
Sawaaaa🎤



Vipi niendelee??
Achana na izo, shusha ile ya dula... nimegair kufa, nakufa leo halafu demu wangu anaolewa kesh hiyo hapan aisee.
 
Back
Top Bottom