Hii mitindo ya nguo kuna siku ...............

malizia sentensi kuna siku nini?....waache wavae yakiwakuta ya kuwakuta ni shida zao....ingawa kama vp tutafute jinc ya kuiabolish hiyo mitindo..kama tuliweza kuabolish slave trade hii itatushindaje?....hahahaaaaa...na bado kuna siku watatembea uchi...wanawake wasio na haya...loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…