Hii mizizi gani?

Hii mizizi gani?

cyrustheruler

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
2,044
Reaction score
1,869
6a46c1bdcab2b54196df8b7e550eccc1.jpg
Wataalam wa madawa ya miti shamba na mizizi waje hapa wanithibitishie hii ni mizizi ya nini na kazi yake gani?
 
Acha kuchanganya folder mkuu kama hujui kaa kimya tu
 
Mkongoraa kwa wanaume wanaotaka kulinda heshima ya ndoa zao tafuna kwa kumenya na kutafuna na karanga utaona matokeo yake kwenye shughuli ya kujenga jina
 
Back
Top Bottom