Hii modem ya vodafone mobile connect

CP naomba ufafanuzi kidogo coz na mie nimeshawahi jaribu kufanya ulichosema but join air inasoma laini yeyote isipokuwa haiwezi kukonnect kwenye internet,i think its obviously itasema connection fail as U said Join Air haina drivers. but what happen in DC unlocker naona ni kuwa unapoclick flash modem ikiwa inserted kwenye PC inawrite off drivers zote nadhani ndio maana inakwambia the dashboard is free to be written
 
Unachosema ni kweli coz huwa naona ile UNLOCK haiko active so inamaanisha kweli haziko UNLOCKED sasa umuhimu wa hii program inasaidia tu pale kwenye kuENABLE DIAGNOSTIC PORT hivyo kurahisisha connection maana hii huweza kuweka ZTE propietary USB MODEM
 
Mkuu hebu check maelezo yangu hapo juu
 
ni kweli,join air haina full drivers,so what mnachotakiwa kufanya ni kwenda official site ya vodafone na mu download drivers baada ya kuweka hiyo firmware mpya ya join air,kama driver zipo basi it will detect,kama hamna baad ya ku download,install vodafone original drivers first,then install join air.
pia before kuchakua modem yako inatkiwa uicheck,je ni Y Zte or huawei?
then you can simply follow procudure ili uweze kuchakachua..
 
join air inaconnect vizuri bila tatizo.kuna line zingine za zain bila wao kuziruhusu hazita-connect, vilevile angalioa settings zake kama zipo sahihi. ukishindwa ni-contact tutakwenda step by step.
 
you are right mkuu.
 

CP ubarikiwe.....haya maelezo yako ni simpo and clear.........Natumia modem yangu ya vodaphone ZTE bila hata kuichakachua..........just using Join Air
 
Kwa wale ambao wame mis driver kwenye join air, chakufanya fungua vodafone connect nenda help kuna kipengele update driver, uta reinstal driver. Nikweli huwagatze driver ina miss mimi huwa naipatia hapo.
 
No!, Unaweza kuinstall driver iliyo miss kupitia vodafone connect > help > update driver.
 

Senkiyu mkuu nimefuata procedures ni nimepata kitu kama hiki,ndio na download Join air,nitarudi tena mkuu

DC - Unlocker 2 Client 1.00.0575

Detecting card :

selection :
manufacturer - ZTE modems
model - Auto detect (recommended)

Found modem : K3565-Z
Model : Vodafone K3565-Z
IMEI : 353462042102355
Firmware : BD_P673A2V1.0.0B09
Compile date / time : Nov 09 2009 14:04:09
Chipset : Qualcomm MSM6246
NAND Flash : HYNIX_HYG0SGH0MF3
SIM Lock status : unlocked


Enabling ZTE diagnostic port ... OK

Restarting modem ... OK

Diagnostic port successfully enabled !
 
Safi kabisa ukimaliza gonga kibutton cha senkyuu ili izide kugonoga zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…