Hii Movement ilikuwa nzuri sana Jf enzi hizo

Hii Movement ilikuwa nzuri sana Jf enzi hizo

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Nikikumbuka hii Movement huwa numia sana, ni bahati Mbaya sana Watanzania sisi hatuamini kwenye umoja na hii ndo changamoto kubwa sana inayo tukumbuka.

Hii movement ilikuwa na nguvu sana sema baadae baada ya kuingia Magu mambo yakawa magumu sana, ingawa hata kabla yake tiyari ilikuwa haina nguvu tena.

Ila ilikuwa ni Idea nzuri sana na Maxence Melo's anaweza angali ni namna gani ya kirudisha ile zamani,

JFEM.jpg
 
I wish ijirudie ila ndiyo hivyo wakati ukuta japo sidhani kama great thinkers wa kipindi kile ndiyo , hawa wa leo.
 
Ilikuwa wazo zuri, ingawa mwisho wa vikao walikuwa wananufaika na nini, au walikuwa wanajitengenezea maadui?
 
Back
Top Bottom