Hii movie series ya mabeberu inawasema vibaya Watanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Inaitwa "The crossing" kwenye season 1 episode 8 kuna mdada anaeleza kile alikiona Tanzania wakati alikwenda kutalii, kwamba albino wanasakwa na kuchinjwa na viungo vyao kuuzwa kwa bei ghali mno. Tazama hapa picha kwenye sub titles.

Kwani ni uongo mkuu,kwamba hakukuwa na hayo matukio?
 
Aaw Booy,Danganyikans should strongly demonstrate against such demeaning vids
 
Mabeberu yazidi kupanick tu, wajue tu Tanzania sio shamba la bibi walilozoea kuja kutuibia madini yetu na nyara za taifa. Watawehuka sana
 
Tanzania ni vitimbi tupu!!! Sasa ni mpigana na mauaji na kula albino persons au ni kufokea adui mbeberu asiyekuwepo isipokua kwa akili zenu!!!!
 
Ahaaa haaa haaa
Hayo anayoongelea ni ya miaka GANI?
 
Aaw Booy,Danganyikans should strongly demonstrate against such demeaning vids

Problem would be language barrier, they can't manage a KoT sort of things, and Wabeberu normally don't visit JF.
 
Mabeberu yazidi kupanick tu, wajue tu Tanzania sio shamba la bibi walilozoea kuja kutuibia madini yetu na nyara za taifa. Watawehuka sana
Mnaona sifa kwamba albino wananyofolewa viungo na kuuawa? Alafu mnamhusisha Jiwe wenu kwenye huo uovu? Mmevurugwa akili sio bure.
Awamu hii mabeberu wanatoa povu kabisa..Wamebakia na maigizo, taarab na minuguniko tu..Magu bado miaka 7 ataendelea kuwa vuruta makende
 
Mnaona sifa kwamba albino wananyofolewa viungo na kuuawa? Alafu mnamhusisha Jiwe wenu kwenye huo uovu? Mmevurugwa akili sio bure.
Uchawi Umezidi huko kwao mabeberu, wanaita sijui black magic etc hata wana vitabu za kueneza uchawi kama harry potter..Wajiangalie sana kabla kuja africa kujifanya malaika, uchawi ni tatizo dunia nzima na kwao umefika hadi Phd
 
Hongera zenu kwa kujifunza kula albino kutoka kwa wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…