Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Kuna jamaa mmoja anasafiri safiri. Akikuta shule ya Kungfu anapiga wote hadi master. Akiulizwa ametoka wapi anajibu kuzimu na amekuja kuwafundisha kungfu.
Alienda shule moja alipiga master na wanafunzi wake. Master akawa amepoteana anaishi pagalani na wanafunzi wake watatu wakatawanyika kwenda kujifunza kungfu. Mmoja akapata mwalimu mvuvi, wa pili akapata mwalimu wa kike na mwingine sikumbuki. Mwishoni walikuja na kupambana na yule jamaa wa 'kuzimu'. Zilipigwa sana wakimchangia na mwishowe walimuua.
Anayekumbuka jina anisaidie.