Yenyewe inaitwa Born Invisible
Ngoja niitafute kama nitapata jina lake
Aisee umenikumbusha mbali sana kuna moja inaitwa invisible nini sijui
Huyo mzee ana sehemu tatu tu za kumpiga kwa mujibu wa kitabu kumbe kuna jamaa alimfundisha hata hizo sehemu mbili kuzifanya invisble kimbembe sehemu 3 wapi haijurikani wanajua hao wawiri
Sasa huyo mzee anamtafuta tena huyo jamaa mmoja pekee ndo anaejua pigo la kumtwanga hilo sehemu
Huyo jamaa katika kimbiakimbia anajifanya mjinga hajui kupigana
Hvyo anatokea katika familia fulani hivi wanamkarimu vizuri yupo mama na watoto zake anaishi hapo sasa katika hao watoto kuna mmoja anakuwa mshikaji wake sana
Siku moja dogo anarudi kadundwa ana manundu anamuuliza vipi kapigwa na alikuwa ameenda kuuza mandazi yamemwaga dogo akawa analia angejua kungfu asingepigwa vile na hana wa kumfunza
Jamaa anamwambia nitakufundisha dogo anafurahi sasa katika kunmfundisha ndo ananfundisha hiyo stail ya invisible nn sijui
Ambayo anakuja kumkalisha huyo mzee Asiepigika na kuwaacha watu midomo wazi
Aisee hilo picha sijui linaitwaje
Movie za kichina za zamani miaka 90 80 70 nzuri sana aisee
Tatizo sijui unazipata wapi now
Zamani nilikuwa nadownload kitambo kupitia CAT3MOVIE ila now hiyo site siioni aisee hawa jamaa walikuwa na movie kibao za kitambo za kichina japo QUALITY ilikuwa mbovu uzuri wao walikuwa na SUBTITLE kitu ambacho kilikuwa kinanivutia sana