Ukidhani wewe si mwendawazimu pima kwanza uhusiano wako na machizi!!
Ukidhani wewe si mwendawazimu pima kwanza uhusiano wako na machizi!!
Kwa watu wenye kufuata misimamo fulani ya kiitikadi kufuga midevu ni swala la Sunnha. Lakini mijanaume mingi hadi sehemu nyingine nywele huwa hazinyolewi hadi wapigizane mikelele na wapenzi wao.
Sasa na hizi nywele za maeneo mengine nazo kufuga ni sunnha au ni uchafu wa wanaume? Jamaa wengine hawapitishi wembe mpaka wajue wanakwenda kukutana na"girlfriend" mpya.
Wanawake tupeni uzowefu wenu hii staili ya "urastafariani" hadi kwenye maeneo nyeti haiwakeri?
sasa umeionaje misitu ya wanaume wenzio?? au nawewe ndo......
sasa umeionaje misitu ya wanaume wenzio?? au nawewe ndo......
huyu jamaa(kigarama) kama ni "Me" kaniacha na maswali meengiiii... Mashoga tunao humu!!!!!!!