Hii mvua inayonyesha sasa na hili wingu, vyote ni kutokana na utabiri wa TMA au vyote ni kwa 'hisani' ya Mnyama leo kwa Mkapa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na kinachonishangaza ni kwamba inanyesha tu maeneo baadhi na nimeambiwa baadae itanyesha Regency Hotel kisha Jangwani Bwawani na ikifika tu Saa 10 jioni itanyesha kwa muda pale kwa Mkapa Stadium ambayo pia itaandamana na 'Nyuki' wa hapa na pale ili mradi tu leo akina Hersi na Msola baada ya Saa 1 Kamili Usiku waanze 'Kuzichapa' kavukavu huku Kaze akiwakazia Mimacho.
 
Mkuu si umeshasema kuna uwezekano w Simba kupoteza au draw.
 
Simba mna maneno ya shombo sana. Ni hekima kubwa sana kusikiliza kuliko kuongea.
 
Kwakweli nawaonea huruma Sana Yanga Makopo.
 
Mkuu si umeshasema kuna uwezekano w Simba kupoteza au draw.
Na kile kile 'nilichokitabiri' ndiyo kimetokea au hakijatokea? Penati, Mchezaji Kuumia na Sare ( Draw ) msione 'Aibu' kunipa Pongezi zangu nyingi tu.
 
Back
Top Bottom