GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simba mna maneno ya shombo sana. Ni hekima kubwa sana kusikiliza kuliko kuongea.Na kinachonishangaza ni kwamba inanyesha tu maeneo baadhi na nimeambiwa baadae itanyesha Regency Hotel kisha Jangwani Bwawani na ikifika tu Saa 10 jioni itanyesha kwa muda pale kwa Mkapa Stadium ambayo pia itaandamana na 'Nyuki' wa hapa na pale ili mradi tu leo akina Hersi na Msola baada ya Saa 1 Kamili Usiku waanze 'Kuzichapa' kavukavu huku Kaze akiwakazia Mimacho.
Wote tukisikiliza nani ataongea?Simba mna maneno ya shombo sana. Ni hekima kubwa sana kusikiliza kuliko kuongea.
ManaraWote tukisikiliza nani ataongea ?
Na kile kile 'nilichokitabiri' ndiyo kimetokea au hakijatokea? Penati, Mchezaji Kuumia na Sare ( Draw ) msione 'Aibu' kunipa Pongezi zangu nyingi tu.Mkuu si umeshasema kuna uwezekano w Simba kupoteza au draw.