ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwanza Mikoa ya Kusini ya Lindi na Mtwara na Wilaya ya Tunduru hatujazoea mvua za vuli na tunategemea Sana korosho zenye kuhimili joto. Sasa msimu huu sijui itakuwaje maana mvua ya maembe imeanza mapema sana kunyesha week hii na kusababisha maua ya korosho kudondoka na ndio kwanza yalianza kuota.
Pia achilia mbali maua tu hata dawa ya sulfur tunayopulizia yote inakwenda chini. Vjijini Huku mwaka huu utakuwa mgumu Sana.
Pia achilia mbali maua tu hata dawa ya sulfur tunayopulizia yote inakwenda chini. Vjijini Huku mwaka huu utakuwa mgumu Sana.