ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Leo mvua imepiga kama vile masikaNilikuwa huko aisee kulikuwa na ukame sana kama mvua zinanyesha sio mbaya
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
We ogopa tuwe wachache mwaka huu.asanteNimetoka kupigiwa simu nusu saa imepita nimeambiwa niende kununua KANGOMBA Kwa TSH 1500 Ila nimeogopa kuweka pesa....ishu za korosho ni kamali Sana kuanzia Kwa wakulima na wachuuzi
Haya mkuu nenda kanunue kila la kheriWe ogopa tuwe wachache mwaka huu.asante
Bei ya matajiri inatarajiwa kua Kati ya 2100 au 2300. Haya piga hesabu hapo kwa hiyo 1500Nimetoka kupigiwa simu nusu saa imepita nimeambiwa niende kununua KANGOMBA Kwa TSH 1500 Ila nimeogopa kuweka pesa....ishu za korosho ni kamali Sana kuanzia Kwa wakulima na wachuuzi
Mhm we ndege JOHN upo wapi katika Ayo maeneo uliyotaja?Leo mvua imepiga kama vile masika