Hii namba ya simu inayoanza na +177 ni ya nchi gani?

Hii namba ya simu inayoanza na +177 ni ya nchi gani?

Freddy81

Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
99
Reaction score
3
Jamani naomba kujua kama kuna mtu anaejua kuwa namba inayoanza na code +177 ni ya nchi gani? maana kuna namba huwa inanibeep mara kwa mara, na nikiipiga inaiambia no connection. Kwa anayejua aniambie. Nimejaribu kutafuta Google lakini sijaona.
 
Kwa haraka haraka, TTCL ukiwapigia 135 watakueleza. Tena ni bree kabsa babangu!
Leka
 
mi sijui...............unaweza kuindia kwenye google......country code alafu ukasearch waweza kuiona pale..........kwani imefanay nini hasa.............angalia usije ukawa umepata meseji ya kushinda mamilioni...utaibiwa nakwambia...
 
Yote hayo nimefanya J. na siwezi kuibiwa kwa maana sina credit card na hat kama ningekuwa nayo hawawezi kunipata.
 
Back
Top Bottom