Hii namba15305 inatuma sms kupitia tigo hadi kero

Hii namba15305 inatuma sms kupitia tigo hadi kero

Nimejaribu kuwaandikia sms ONDOA lakini wananijibu bado hujajiunga na ZALI na maelezo mengine ya kitapeli.

Nifanye nini kukomesha huu utapeli ukizingatia kila unapowatumia sms wanakata kwenye salio la simu.

Tafadhali ninyi watu wa yas tuondoleeni mambo haya ya kitapeli

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Acha kutumia ma Infinix
 
Kuna siku sms ilingia "hongera umefanikiwa kujiunga sijui huduma ya Nini na Nini bure kwa wilki nzima. utatozwa 200/siku. Sikuwa nimejiunga wala kubonyeza kuomba huduma yoyote. Chapi nikifungua menu nikaangalia subscription nikaviondoa japo ilikuwa ni mrorongo mrefu mpaka unajiuliza kwa mtu Ambae si mtundu wa sim lazima utupe line sababu Kila uliweka saliolitakuwa linaenda kwenye huduma za kitapeli
 
Mbona simple tu, block them
Screenshot_20250308_180212_Messages.jpg
 
Alafu sikuizi YAS Wana tabia ya kubipu watu bila ruhusa ya mwenye namba. Unashangaa unapigiwa simu na X wako mbona nimekuta missed call Yako wakati hata ujapiga si mala Moja Wala mbili inatokea sana
Uongoo,... Itakua hiyo tecno yako ikipata joto inajiongeza 🤣🤣🤣
 
Nimejaribu kuwaandikia sms ONDOA lakini wananijibu bado hujajiunga na ZALI na maelezo mengine ya kitapeli.

Nifanye nini kukomesha huu utapeli ukizingatia kila unapowatumia sms wanakata kwenye salio la simu.

Tafadhali ninyi watu wa yas tuondoleeni mambo haya ya kitapeli

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Matapeli sana Mimi nilipiga block
 
Hata voda wezi Sana ukiacha salio linahang wanakata mpaka linaisha ukiwapigia wanakwambia umejiunga na huduma sijui hata nilijiunga lino na wapi
 
Huwaga na ziblock mpaka zile za betting zote napiga block.
 
Back
Top Bottom