Hii namba15305 inatuma sms kupitia tigo hadi kero

Acha kutumia ma Infinix
 
Kuna siku sms ilingia "hongera umefanikiwa kujiunga sijui huduma ya Nini na Nini bure kwa wilki nzima. utatozwa 200/siku. Sikuwa nimejiunga wala kubonyeza kuomba huduma yoyote. Chapi nikifungua menu nikaangalia subscription nikaviondoa japo ilikuwa ni mrorongo mrefu mpaka unajiuliza kwa mtu Ambae si mtundu wa sim lazima utupe line sababu Kila uliweka saliolitakuwa linaenda kwenye huduma za kitapeli
 
Alafu sikuizi YAS Wana tabia ya kubipu watu bila ruhusa ya mwenye namba. Unashangaa unapigiwa simu na X wako mbona nimekuta missed call Yako wakati hata ujapiga si mala Moja Wala mbili inatokea sana
 
Alafu sikuizi YAS Wana tabia ya kubipu watu bila ruhusa ya mwenye namba. Unashangaa unapigiwa simu na X wako mbona nimekuta missed call Yako wakati hata ujapiga si mala Moja Wala mbili inatokea sana
Uongoo,... Itakua hiyo tecno yako ikipata joto inajiongeza 🤣🤣🤣
 
Matapeli sana Mimi nilipiga block
 
Hata voda wezi Sana ukiacha salio linahang wanakata mpaka linaisha ukiwapigia wanakwambia umejiunga na huduma sijui hata nilijiunga lino na wapi
 
Huwaga na ziblock mpaka zile za betting zote napiga block.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…