Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
kama hujaipenda je?
Huo mnyororo ndiyo hasa unatibua uhusihano...! Mababu zetu waliumizwa na mnyororo! Kibaya hao waliotumia mnyororo huo kuwaumiza babu zetu wala hawajaomba radhi na kutubu dhambi hii. Kwenye suala la imani twaweza kuzungumza kwa jicho lingine.

Mbona unakuwa 'provocked' kirahisi! Ibua hoja ya kutetea uhusiano unaozungumzwa kwenye Clip. Clip si maneno tu yanayoimbwa bali na mandhari inayoonyeshwa inakuwa na ujumbe mahususi. Nimeuona mnyororo kwenye clip hiyo ndipo sasa nikaibuka na hoja ya maumivu kutokana na myororo huo.Ewe galatia unaongea madudu gani, yani waombe radhi/msamaha kwa kitu ambacho hawajafanya! Unaweza kuleta ushahidi wowote hata wa picha tu?
Mbona unakuwa 'provocked' kirahisi! Ibua hoja ya kutetea uhusiano unaozungumzwa kwenye Clip. Clip si maneno tu yanayoimbwa bali na mandhari inayoonyeshwa inakuwa na ujumbe mahususi. Nimeuona mnyororo kwenye clip hiyo ndipo sasa nikaibuka na hoja ya maumivu kutokana na myororo huo.
Sasa ni wakati wako kutoa changamoto unayoiona kwenye hoja yangu kisha kupendekeza lililo bora ili nijifunze kitu kutoka kwako.
Karibu.
Mkuu kuna maelfu na maelfu ya watu wanafuatilia mjadala huu hapa JF. Sasa kama unajibu hoja niliyotoa kwa staili hii unakuwa unapunguza radha ya hoja zako.Akili na fikra yako yoote imelenga kwenye utumwa bila hata kuuliza maana ya huo mnyororo.
Huo mnyororo hauna mahusiano yoyote na utumwa,,
Sitaki maneno mengi, lete ushahidi hapa hata wa picha tu! Usipoleta tafadhali usiniquote!
Huo mnyororo ndiyo hasa unatibua uhusihano...! Mababu zetu waliumizwa na mnyororo! Kibaya hao waliotumia mnyororo huo kuwaumiza babu zetu wala hawajaomba radhi na kutubu dhambi hii. Kwenye suala la imani twaweza kuzungumza kwa jicho lingine.
Akili na fikra yako yoote imelenga kwenye utumwa bila hata kuuliza maana ya huo mnyororo.
Huo mnyororo hauna mahusiano yoyote na utumwa,,
Sitaki maneno mengi, lete ushahidi hapa hata wa picha tu! Usipoleta tafadhali usiniquote!
Karibu tena. Ukirudi, uje na majibu ya huo mnyororo unamaanisha nini kwenye clip.Kwaheri.
Si ndiyo maana mnatakiwa kunijuza/kunifundisha nielewe/nijue, Mkuu. Siku zote nipo JF kujifunza, kuburudika, na kushauri pia.Usipoteze muda wako kubishana nae mkuu, hana anachojua.
Ndiyo hiyoOman si ndo nchi inayowatesa mabinti wanaokwenda kufanya kazi za ndani,au nimechanganya?
Oman si ndo nchi inayowatesa mabinti wanaokwenda kufanya kazi za ndani,au nimechanganya?
wahapa tunaona wahalifu wanafikishwa kwenye vyombo vya sheria.Umechanganya, ni hapa kwetu mabinti wanateswa na kuuliwa, na isitoshe mshahara wanapewa mdogo. Upo hapo!
wahapa tunaona wahalifu wanafikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Ila watesaji wa uko kwenu arabuni atuoni wakichukuliwa atua?
wahapa tunaona wahalifu wanafikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Ila watesaji wa uko kwenu arabuni atuoni wakichukuliwa atua?