britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Habari za weekend,
Ujio wa Dr balozi padree utakuwa na hatua nyingine za kushtukiza ambazo kuna vijana wake wanne ndani ya CHAMA fulani mmoja aliyekuwa mbunge wa maeneo ya stendi ya mabasi na mwingine mbunge wa kule alikoshindwa mbatia, watakutana na rais kutoa yao ya moyoni , na kueleza ukimya wao wa mda mrefu ,
Ila kupitia kwa Mwenezi Pole pole wameweza kukutana na secretariat ya Chama dume na kuahidiwa nafasi nne za juu ambazo ni nzuri endapo wakiacha ubunge na kurudi kwenye chama ambacho hakina kigugumizi kukemea ufisadi
Wakati kingunge na sumaye wakitaka kurejea ccm lakin mangula mzee wa mafaili akasema kazi yao ya kumuangalia mtu maarufu ndani ya upinzani ambayo waliwakabidhi tokea wakiwa CCM haijaisha bado Ana kaarufu ka kutishia usalama wa nchi
Ikumbukwe Task hii walipewa watu watatu kujifanya na karibu na jamaa kumbe watamwangusha na ku leakisha habari,
Alikuwa Msukuma, Kingunge na Nchimbi, mzee alijiachia akadhani ni wa kwao.kumbe lah
Kwa upande mwingine Makongoro Nyerere anapewa cheo soon ndani ya serikali ya Jpm,
Keep waitn
Kama hutaki kuamini acha kabisa,
Ngoja niongeze vodka hapa
Within one month hayo yatatimia
Brittany