Kuna mtu kanieletea picha ifuatayo katika mojawpao ya mass mailing ninazopopokea kila siku. Sijuii picha yenyewe imapeigwa wapi ila nina uhakika kuwa ni Tanzania.
Kuna tafisir nyingi sana kuhusiana na picha hiyo:
(1) Ni tangazo la kibishara ya kuvutia wateja ambao ni wanachama wa CCM.
(2) Ni tangazo la kuhamaisha watu wajiunge na CCM.
(3) Ni rushwa ya moja kwa moja ya kutoa upendeleo kwa wanachama wa CCM na kuwabagua wale wasio kuwa wanachama wa CCM
nitakuwa na kadi ya kila chama. offer kama hizi zinapotokea zisinipite!! Jaamaa naona ka-BOLD kabisa hii inarusiwa kweli. Walinzi wa Amani inabidi wafute maandishi hayo
Ingekuwa ni chama kingine kinaichafua CCM nina hakika hatua zingeshachukuliwa. Hapa kuna ukweli fulani, na takukuru hawawezi kwenda kuwauliza wafanyabiashara ni nani analipia hilo punguzo! Kingekuwa chama kingine Takukuru wangeshafuatilia maana kukiuka sheria kwa CCM si kosa!