Mmh.. Jamani wanaume!! Huyu wangu amekuwa mkweli kaniambia nisiwaze suala la ndoa.. Kama nataka kuishi kwake niende muda wowote lakini mambo ya chereko chereko hataki kusikia...!
Hivi mtu unakuwa na mpenzi na anakwambia live kwamba hawezi kukuoa kwa baadae kwa sababu bado ana safari ndefu ya kutafuta maisha na bado anakwambia anakupenda. Hivi kweli kuna mapenzi ya kweli hapo, naombeni ushauri wana Jf.
anakupenda mwaya...kaa kaa!!!!
hii imetulia, inawezekana ikawa hivoHapo msela kafunguka kiukweli ili baadae kusije kukawa na utata yeya ka vipi maana ukikaa naye utapoteza soko hapo baadae au we unaonaje?