Hii nayo nimeikuta Facebook,hawa jamaa waache vituko

Hii nayo nimeikuta Facebook,hawa jamaa waache vituko

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
IMG_20180502_165302_999.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
umenikumbusha jamaa mmoja anasoma hapo st Jose kampa demu mimba mara mbili wakazichomoa sahivi ana mimba ya 3 jamaa anataka ichomoe demu kagoma demu kashaanza lalamika jamaa anataka msepa amwache na mimba yake
 
Duu kwa hiyo wameuwa kwa kudhamiria x2
Na anataka tena kuuwa.
Kweli nyama ya binadamu haiachi mtu salama
 
Kuzaa nje ni kufanya majaribio kama chombo inafyatua,ila kama haifyatui bora nisioe
 
mkuu alafu demu anampenda jamaa mpk anatoka mkoa mwingine anamfata jamaa dar nilichomsaidia nimemwambia atafute mtu amsingizie kampata jamaa wa bodaboda
Ana dhambi kubwa sana
Kwanini anafanya hivyo
Sasa kamsingizia mimba jamaa mwingine
Halafu iweje?
Daah maisha haya
 
Ana dhambi kubwa sana
Kwanini anafanya hivyo
Sasa kamsingizia mimba jamaa mwingine
Halafu iweje?
Daah maisha haya
mkuu niliona tu bora nimpe huo ushauri wa kumsingizia mimba jamaa ili kuokoa roho ya huyo kiumbe maana huyo jamaa wa kwanza alitaka itolewe
 
Back
Top Bottom