Hii nayo..!

Jogoo wa shamba hawiki mjini. Hilo ndo jibu la swali ulilouliza.
 
hi,jf members! kuna kitu kinanitatiza kila cku asilimia kubwa ya wasichana/Wanawake ninaopishana nao wanakuwa wamevaa suruali zimebanaa! kwa watu ambao tunatoka bush hadi aibu kuwatazama, lengo lao huwa nini?

Mi wale wenye masaburi makubwa makubwa huwa wananiharibia siku kabisa.
 
mbona raha..we waonaje,unahojihoji nini? Ili waache sisi tusisafishe macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…