Hii nayo!!

Yaaani tokea vietnam hajapata msaada mpaka leo???
 
ombaomba dotcom huyu-bango la kuombea la kielektronic.
 
teknolojia inasambaa anga zote.
 
bango lenyewe gharama ya laptop ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,nani akusaidie tupa kule
 
Askari wa marekani aliepigana huko Vietmam. Kisha sahauliwa na serikali yake sasa no omba omba tu !! hana thamani tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…