balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
[/QUOTE
UPUUZI MTUPU,ACHA kuungaunga ujinga
Tim kutoka tanzania ilio fika robo fainali caf champions kuona aija fanikiwa uo nao ni upumbavuEti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
RIP YANGA Tarehe 9..Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
Yani ukose medali kimataifaTim kutoka tanzania ilio fika robo fainali caf champions kuona aija fanikiwa uo nao ni upumbavu
Kuingia makundi CAFCL unapata takriban 1.5bEti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
Cha ajabu ni kwamba hiyo hiyo timu ambayo imechukua makombe yote ya ndani, mashabiki wake ndio waliojazana kuhojiwa kwenye vyombo vya habari baada ya mechi na Africain, na kusema kwamba hawamtaki kocha wao Nabi, na kwamba ni mpumbavu, aondoke aende kwaoEti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.
Hapo mwenye mafanikio Ni mwenye taji.... Baada ya miaka 10 huwezi kusema eti mwaka 2022 tulipataga tsh. 1.5 b, for what??? Lakini vikombe hata ukilipwa buku jero n mafanikio makubwa sana. Ndo maana Al ahly anaheshimika zaidi barani Africa Kama ilivo kwa Real Madrid ulaya kuliko Timu yyte ile...Kuingia makundi CAFCL unapata takriban 1.5b
Kuchukua makombe yote tanzania unapata chini ya 1b
Mafanikio yako upande gani hapo?
Ukinicheka shambani nami nitakucheka sokoni, ngoma droo, unatolewa na al hilal unataka nisikucheke?Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
Wamezifanyia nini hizo 1.5b?Kuingia makundi CAFCL unapata takriban 1.5b
Kuchukua makombe yote tanzania unapata chini ya 1b
Mafanikio yako upande gani hapo?
Hasa mashabiki wa utopolo.Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
Kutokufungwa kwa kuwapa marefa wa kibongo mlungula,mbona kwa marefa wa Nje makalio yanatoa jasho,marefa wa Nje wanajielewa,hawaongeki kisenge *****,Jumatano ijayo mtagongwa kama ngoma ya mdakuEti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
Tena wa shule ya kataUnaandika kama mtoto wa darasa la pili.