Hii nchi imeshauzwa nini? Court of apeal building wanabomoa?

Hii nchi imeshauzwa nini? Court of apeal building wanabomoa?

Mitomingi8s

Senior Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
132
Reaction score
39
Jamani kweli hii ni haki kwa wa tz? mbona tunaenda pabaya sana? tumevumilia twiga kuibiwa na jengo hilo wanataka kuliba nini? mweeeeeeee
 
huenda mahakama nayo imepata mwekezaji,upande moja utakuwa hoteli ya kitalii na upande wa pili mahakama,kama kawaida hii ndiyo Banana republic na itakuwa hivyo milele,ni kama vile mzee wa butiama aliichia radhi
 
Back
Top Bottom