Mitomingi8s Senior Member Joined Jan 17, 2011 Posts 132 Reaction score 39 Aug 24, 2011 #1 Jamani kweli hii ni haki kwa wa tz? mbona tunaenda pabaya sana? tumevumilia twiga kuibiwa na jengo hilo wanataka kuliba nini? mweeeeeeee
Jamani kweli hii ni haki kwa wa tz? mbona tunaenda pabaya sana? tumevumilia twiga kuibiwa na jengo hilo wanataka kuliba nini? mweeeeeeee
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Aug 24, 2011 #2 huenda mahakama nayo imepata mwekezaji,upande moja utakuwa hoteli ya kitalii na upande wa pili mahakama,kama kawaida hii ndiyo Banana republic na itakuwa hivyo milele,ni kama vile mzee wa butiama aliichia radhi
huenda mahakama nayo imepata mwekezaji,upande moja utakuwa hoteli ya kitalii na upande wa pili mahakama,kama kawaida hii ndiyo Banana republic na itakuwa hivyo milele,ni kama vile mzee wa butiama aliichia radhi