Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Mtu nakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Hilo sio tatizoMtu nakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Off point!Mtu nakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Wabunge na madiwani wote mliowanunua baada ya wiki moja mkawapa ugombea walitimiza miaka miwili ccm ?Mtu nakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Hizo nchi za wenzenu achana nao, sie tumeamua kutokuwaiga.Hilo sio tatizo
Nchi za wenzetu vyama vina ungana muda mfupi sana uchaguzi kuanza ili kuongeza nguvu ya mapambano. Tanzania ni vikwazo tu ili kuibeba Ccm. Mambo ya aibu tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana watu wanaamua kuungana na mabeberu kuwashughulikia.Tutaelewana tu. mkijifanya wababe, mnapigwa pini mahali.
suala la fujo kama ni hao alshabaab mliowaajiri, na wao watashughulikiwa.
Acha waungane as long as na watoto wako na familia yako wataisoma namba, haina tatizo.Ndio maana watu wanaamua kuungana na mabeberu kuwashughulikia.
Hakuna mabadiliko bila gharama hivyo tuko tayari kwa lolote mradi tu fisisisiem iondoke.Acha waungane as long as na watoto wako na familia yako wataisoma namba, haina tatizo.
Wewe mbona ni maharage ya mbeya dakika mbili tu unaliwa ila hatukusemiMtu nakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Haina tatizo.Hakuna mabadiliko bila gharama hivyo tuko tayari kwa lolote mradi tu fisisisiem iondoke.
Hapa Alshabab yuko wapi ?Tutaelewana tu. mkijifanya wababe, mnapigwa pini mahali.
suala la fujo kama ni hao alshabaab mliowaajiri, na wao watashughulikiwa.