Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
- Thread starter
-
- #21
Nitawaunga mkono maana upuuzi umezidi nchi hii.Anayoyakataa Marekani ndio mambo kama aya ukisoma kwa makini zuio la Makonda acha ccm ijitengenezee kaburi lake yenyewe Marekani mwaka huu wa uchaguzi hata iweje anakwenda na kichwa cha mtu.
hzo zenyewe ulizotaja asilimia kubwa ni za kutengeneza, kura halali hapo hazizidi elfu mbiliShetani hajawahi kumshinda Mungu , tulishasema Uchaguzi wa Marudio 2015 Shein alipata kura 57850 , na hapo alikuwa mgombea pekee !
Wanamuogopa Maalim Seif kuliko chochote
Mtu nakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Hivi Uhuru wa kujiunga na Chama chochote upo wapi hapa !?.Haki ya kuchagua na kuchaguliwa /Haki ya Wanachama wote kuwa ni sawa ipo wapi !?
Unapo sema Tanzania ni Nchi yenye Mfumo wa Vyama vingi ,hii ni nini maana yake kama Haki zote umezichukua kwa Mlango wa nyuma !?.Hii ndio Demokrasia ya aina gani !?
Tatizo watanzania wote tumekuwa mazuzu to an extent kwamba kila kitu tunataka tuamuliwe na ccm as if hii nchi ni mali ya ccm.poor TanzaniansHivi Uhuru wa kujiunga na Chama chochote upo wapi hapa !?.Haki ya kuchagua na kuchaguliwa /Haki ya Wanachama wote kuwa ni sawa ipo wapi !?
Unapo sema Tanzania ni Nchi yenye Mfumo wa Vyama vingi ,hii ni nini maana yake kama Haki zote umezichukua kwa Mlango wa nyuma !?.Hii ndio Demokrasia ya aina gani !?
Acha ujiga wewe. Sasa hapo ulitaka us embassy wakatae yeye kuomba kwenda tembea ubalozi wao? Ulitaka waseme IT WAS A DISGRACE MEETING WITH SHARRIF?Hapa Alshabab yuko wapi ?View attachment 1352185
Vingine ni rushwa tu kuliko wanachama kutaka mgombea fulani. Ukitaka kuzuia rushwa kwenye mambo kama haya, ni lazima kuweka kipindi cha mpito.Kama Wanachama wao kwa wao wame kubaliana na hayo Tatizo lipo wapi !?
Uzuri ni mmeshika kwenye makali.
Yaani watu wa ccm bwana sijui akili zenu zikoje,Hivi ujasiri wa kujitoa ufahamu kwamba nini ni kila kitu mnautoa wapi? mnadhani laki tatu au Saba wanazolipwa watoto wetu,baba zetu,dada zetu,kaka zetu,shemeji zetu na wajomba zetu zinaweza zikawafanya wawe misukule ya ccm muda wote wote?Tutaelewana tu. mkijifanya wababe, mnapigwa pini mahali.
suala la fujo kama ni hao alshabaab mliowaajiri, na wao watashughulikiwa.
Ndio umuhimu wa mabadiko ya juu sheria, maana hata CCM na wao watabanwa na itapunguza mambo ya "Hama-Hama".Wabunge na madiwani wote mliowanunua baada ya wiki moja mkawapa ugombea walitimiza miaka miwili ccm ?
Hueleweki unaongea nini! Ebu tuliza kalio ma akili kwanza wewe bavicha. Baba na mama yako wamekusomesha kwa hela za sisiemu. Usiwapangie wakufuate huko upuuzini.Yaani watu wa ccm bwana sijui akili zenu zikoje,Hivi ujasiri wa kujitoa ufahamu kwamba nini ni kila kitu mnautoa wapi? mnadhani laki tatu au Saba wanazolipwa watoto wetu,baba zetu,dada zetu,kaka zetu,shemeji zetu na wajomba zetu zinaweza zikawafanya wawe misukule ya ccm muda wote wote?
Wabunge na madiwani wote mliowanunua baada ya wiki moja mkawapa ugombea walitimiza miaka miwili ccm ?
Mimi huwa sielewi why tunawategemea marekani na mataifa mengine,watanzania tupo milioni 58 hivi,ccm wapo chini ya milioni 14.hivi watu milioni 44 kuburuzwa na watu chini ya milioni 14 ni ujinga,uzembe au ubwege?Anayoyakataa Marekani ndio mambo kama aya ukisoma kwa makini zuio la Makonda acha ccm ijitengenezee kaburi lake yenyewe Marekani mwaka huu wa uchaguzi hata iweje anakwenda na kichwa cha mtu.
Wanatumia sheria gani?
Je hao waliohamia ACT hasakuijua au ni hujuma?
Ni vyama ndio vinaungana na sio wanachama au wanasiasa. Hapa HAWABADILI katiba, mrengo, au mfumo wa vyama vyao. Ukihama kutoka chama kimoja kwenda kingine kila kitu kinabadilika.Hilo sio tatizo
Nchi za wenzetu vyama vina ungana muda mfupi sana uchaguzi kuanza ili kuongeza nguvu ya mapambano. Tanzania ni vikwazo tu ili kuibeba Ccm. Mambo ya aibu tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Maalim ni mungu?Shetani hajawahi kumshinda Mungu , tulishasema Uchaguzi wa Marudio 2015 Shein alipata kura 57850 , na hapo alikuwa mgombea pekee !
Wanamuogopa Maalim Seif kuliko chochote
PolitricsMaria Sarungi:
Serious trouble is brewing in Zanzibar! Mark this tweet!
@ccm_tanzania is set to pass an amendment to bar all @ACTwazalendo
opposition candidates with the excuse that you have to be a member of a party for at least 2 years to qualify. This will not end well! #Tanzania
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe:
Tuliposema kuwa CCM wana mpango wa kuzuia mamia ya wanachama wa @ACTwazalendo kugombea Urais, Ubunge na Udiwani ktk Uchaguzi 2020, CCM walikanusha. Ndg. @omarshaaban80 juzi alikazia maneno ya Maalim @SeifSharifHamad CCM wakakanusha tena, wakakataa taarifa yao rasmi. Hapa je?
Hapo mwishoni Zitto katika tweet yake kahoji hivyo baada ya mjumbe mmoja wa Baraza la Wawakilishi kusikika katika clip iliyoko mtandaoni akisema anakusudia kupeleka hoja binafsi katika Baraza la Wawakilishi kutaka kuwe na sheria itayozuia waliojiunga na vyama kutogombea nafasi ya uraisi,uwakilishi na udiwani mpaka kwanza wawe wametimiza miaka miwili katika vyama walivyojiunga.
Mkuu can you leave me alone? unanipotezea muda we empty head,ccm wanafanya biashara gani ya kuweza kupata pesa ya kuwasomesha watanzania?MBWA weweHueleweki unaongea nini! Ebu tuliza kalio ma akili kwanza wewe bavicha. Baba na mama yako wamekusomesha kwa hela za sisiemu. Usiwapangie wakufuate huko upuuzini.