Iam NOT leaving you! Me and your stinking ass mpaka kieleweke godamn it...Mkuu can you leave me alone? unanipotezea muda we empty head,ccm wanafanya biashara gani ya kuweza kupata pesa ya kuwasomesha watanzania?MBWA wewe
Huu ndio ukweli mchungu.Lazima tupitie kwenye joto kali sana ili tuweze kujitambua kama binadamu wengine duniani.
Unfortunately, uchaguzi wa marekani is around the corner. Kwa joto alilopewa na Pelosi, anarudi ku regroup his troops! I homestly like Trump, he's a typical JPM, just in other part of the world with power at his hands...but i highly doubt if he will make it the second term...
Joto kali haimaanishi change of power..msiwe empty headed...Huu ndio ukweli mchungu.
Akijibu niiteWabunge na madiwani wote mliowanunua baada ya wiki moja mkawapa ugombea walitimiza miaka miwili ccm ?
Naona imekugusa sana hapo...kwa umri wa bavicha wengi humu, 85% ya wazazi wao ni sisiemu. Hata wewe! Unajua ndio ukweli, na sio tu wao ni sisiemu sababu ya hisani bali ndio chama wanachoamini ni sehemu yao.Una uwezo mdogo sana wa fikra. Kudhani mzazi kujinyima na kumsomesha mtoto ni hisani ya ccm !!. Kwa akili hii utaongozaJe family ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi yupo mwingine ffu nae alienda zenji, aliniambia cuf hawakushinda!Nilipokuwa Mwanza, Kirumba kwenye msiba wa mtoto wa shangazi yangu, Kaka yake kwa jina la SHEKY, alitamka wazi kuwa Zanzibar 2015 wazi CCM ilishindwa! Yeye ni FFU walitolewa Bara kwenda kudhibiti na kupora ushindi wa upinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zanzibar inajiendesha yenyewe kwenye siasa za ndani ambazo hazingiliani mambo ya muungano. Kama bara watapenda na wao wanaweza kupendekeza.Sasa basi hii sheria kwa nini iwe ni kwa upande wa zanzibar tu, ilhali ni Bara ndio ingefaa zaidi?
Nimesha lisema hilo kwenye huu uzi, kumbuka sheria hii haipo ila kuna baadhi ya wajumbe wa visiwani wanaipendekeza. Ila kama ingekuwapo hapo awali, ingesaidia kupunguza hama hama. Watu wanafikiri watu wote wanaohama wamehongwa, wengine wamechoshwa na dhuluma ndani ya vyama walivyo.Mbona hujazungumzia wale wabunge waliohama upinzani na muda huo huo wakapita CCM bila hata kupingwa?
Vingine ni rushwa tu kuliko wanachama kutaka mgombea fulani. Ukitaka kuzuia rushwa kwenye mambo kama haya, ni lazima kuweka kipindi cha mpito.
Wao waendelee tu kusubiria mpaka kura zipigweccm haitakiwi Zanzibar kwa 91% sasa katika hali hii unategemea nini ?
Dah mkuu mitale ulipoteaga wapi? Karibu nianzishe thread kukuulizia.Wanatumia sheria gani?
Je hao waliohamia ACT hasakuijua au ni hujuma?
Wapi umeona sheria inatumika awamu hii..???sheria hutumika zaidi pale inapolinda maslahi mapana ya watawala.Wanatumia sheria gani?
Je hao waliohamia ACT hasakuijua au ni hujuma?
Hiyo ni nzuri ije hata huku bara ili kukomesha hii biashara ya vyeo vya kisiasaMaria Sarungi:
Serious trouble is brewing in Zanzibar! Mark this tweet!
@ccm_tanzania is set to pass an amendment to bar all @ACTwazalendo
opposition candidates with the excuse that you have to be a member of a party for at least 2 years to qualify. This will not end well! #Tanzania
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe:
Tuliposema kuwa CCM wana mpango wa kuzuia mamia ya wanachama wa @ACTwazalendo kugombea Urais, Ubunge na Udiwani ktk Uchaguzi 2020, CCM walikanusha. Ndg. @omarshaaban80 juzi alikazia maneno ya Maalim @SeifSharifHamad CCM wakakanusha tena, wakakataa taarifa yao rasmi. Hapa je?
Hapo mwishoni Zitto katika tweet yake kahoji hivyo baada ya mjumbe mmoja wa Baraza la Wawakilishi kusikika katika clip iliyoko mtandaoni akisema anakusudia kupeleka hoja binafsi katika Baraza la Wawakilishi kutaka kuwe na sheria itayozuia waliojiunga na vyama kutogombea nafasi ya uraisi,uwakilishi na udiwani mpaka kwanza wawe wametimiza miaka miwili katika vyama walivyojiunga.
Nilikaa na balozi mmoja alikuwa kubwa la majasusi, aliniambia kwamba Zanzibar 1995 CCM waliiba kura. Hawakushinda.Nilipokuwa Mwanza, Kirumba kwenye msiba wa mtoto wa shangazi yangu, Kaka yake kwa jina la SHEKY, alitamka wazi kuwa Zanzibar 2015 wazi CCM ilishindwa! Yeye ni FFU walitolewa Bara kwenda kudhibiti na kupora ushindi wa upinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea Nini BADO unaujinga kichwaniMtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Duhh Zanzibar wako very serious duuhNilikaa na balozi mmoja alikuwa kubwa la majasusi, aliniambia kwamba Zanzibar 1995 CCM waliiba kura. Hawakushinda.
Nilikaa na muandishi mmoja wa zamani magazeti ya serikali, aliniambia Zanzibar CCM walianza kubadilisha matokeo tangu vyama vingi havijaanza. Alisema kwamba uchaguzi wa chama kimoja wa 1985 Idris Abdul Wakil alishindanishwa na kivuli, zike kura za "NDIYO" au "HAPANA", lakini alishindwa.
Watu wa magazeti ya serikali walipata matokeo, wakaona Wakil kashindwa. Wakataka kuchapisha, wakaambiwa subirini kwanza. Serikali ikabadilisha matokeo, wakaoeea matokeo mapya yaliyobadilishwa.
Wazee wa zamani waliifanya kazi Daily News wanajua habari hizi.
CCM imeanza kubadilisha matokeo Zanzibar tangu enzi za chama kimoja.
Sent using Jamii Forums mobile app