The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Umeulizwa huko hivi,; Wabunge na madiwani wote mliowanunua baada ya wiki moja mkawapa ugombea walitimiza miaka miwili ccm ?Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
😆😆😆😆😆😆😆😆😆Kwanini usiullize kama ccm ni Shetani ?
Nipo mkuu. Nilikuwa nafuatilia kimya kimyaDah mkuu mitale ulipoteaga wapi? Karibu nianzishe thread kukuulizia.
Vipi wakina waitara walikuja Mwaka gani?Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Jasusi mwenye mlengo wa cuf unategemea akwambie nini?Nilikaa na balozi mmoja alikuwa kubwa la majasusi, aliniambia kwamba Zanzibar 1995 CCM waliiba kura. Hawakushinda.
Nilikaa na muandishi mmoja wa zamani magazeti ya serikali, aliniambia Zanzibar CCM walianza kubadilisha matokeo tangu vyama vingi havijaanza. Alisema kwamba uchaguzi wa chama kimoja wa 1985 Idris Abdul Wakil alishindanishwa na kivuli, zike kura za "NDIYO" au "HAPANA", lakini alishindwa.
Watu wa magazeti ya serikali walipata matokeo, wakaona Wakil kashindwa. Wakataka kuchapisha, wakaambiwa subirini kwanza. Serikali ikabadilisha matokeo, wakaoeea matokeo mapya yaliyobadilishwa.
Wazee wa zamani waliifanya kazi Daily News wanajua habari hizi.
CCM imeanza kubadilisha matokeo Zanzibar tangu enzi za chama kimoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au ulikuwa bize na ile id yako nyingine?Nipo mkuu. Nilikuwa nafuatilia kimya kimya
Hao wafia chama (ccm) kwa sasa wako wapi? Ndio kina pole pole? Na katibu mkuu wenu?!! Mkumbo? Hahahaha, wale ccm kindakindaki wako wapi?Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Nimeona awamu inatumia sheria, mianya ya sheria, maeneo ya sheria yenye migogoro na mahala sheria inapokaa kimya kujipendelea.Wapi umeona sheria inatumika awamu hii..???sheria hutumika zaidi pale inapolinda maslahi mapana ya watawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maria Sarungi:
Serious trouble is brewing in Zanzibar! Mark this tweet!
@ccm_tanzania is set to pass an amendment to bar all @ACTwazalendo
opposition candidates with the excuse that you have to be a member of a party for at least 2 years to qualify. This will not end well! #Tanzania
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe:
Tuliposema kuwa CCM wana mpango wa kuzuia mamia ya wanachama wa @ACTwazalendo kugombea Urais, Ubunge na Udiwani ktk Uchaguzi 2020, CCM walikanusha. Ndg. @omarshaaban80 juzi alikazia maneno ya Maalim @SeifSharifHamad CCM wakakanusha tena, wakakataa taarifa yao rasmi. Hapa je?
Hapo mwishoni Zitto katika tweet yake kahoji hivyo baada ya mjumbe mmoja wa Baraza la Wawakilishi kusikika katika clip iliyoko mtandaoni akisema anakusudia kupeleka hoja binafsi katika Baraza la Wawakilishi kutaka kuwe na sheria itayozuia waliojiunga na vyama kutogombea nafasi ya uraisi,uwakilishi na udiwani mpaka kwanza wawe wametimiza miaka miwili katika vyama walivyojiunga.
Ipi mkuu. HahahaAu ulikuwa bize na ile id yako nyingine?
Hili swali lijibiwe!Wabunge na madiwani wote mliowanunua baada ya wiki moja mkawapa ugombea walitimiza miaka miwili ccm ?
Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Kina waitara mliowapa na unaibu waziri walikaa miaka 2?Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Umejuaje ana mlengo wa CUF?Jasusi mwenye mlengo wa cuf unategemea akwambie nini?
Kwanini usiullize kama ccm ni Shetani ?
Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Nothing good comes in a silver plateHuu ndio ukweli mchungu.