Hii ndinga Ni Kali asee!! Tutafuteni pesa tu!!

Hii ndinga Ni Kali asee!! Tutafuteni pesa tu!!

Hizi ndio future cars, wakati si tunapambana na kuchimba mafuta leo, sijui tutamuuzia nani by next ten years soko la mafuta litakuwa limeshuka sana.

Uongozi wetu wa visasi unatufanya tuwe masikini!! Jiwe kaingia badala ya kuendeleza mirada ya Gesi akaona mkwere alikula hivyo yeye asingepeta kitu ndio sababu ya kutoendeleza miradi ya gesi; akaanzisha miradi yake naye apate 10%!! Ametuzubaisha mpaka Mozambique wataanza kuchimba gesi na kunyonya yote kwani tuko mkondo mmoja!! NG'OMBE WA MASIKINI KWELI HAZAI!!
 
Uongozi wetu wa visasi unatufanya tuwe masikini!! Jiwe kaingia badala ya kuendeleza mirada ya Gesi akaona mkwere alikula hivyo yeye asingepeta kitu ndio sababu ya kutoendeleza miradi ya gesi; akaanzisha miradi yake naye apate 10%!! Ametuzubaisha mpaka Mosambique wataanza kuchimba gesi na kunyonya yote kwani tuko mkondo mmoja!! NG'OMBE WA MASIKINI KWELI HAZAI!!
Kaanzisha yake ya upigaji!
 
Hizi ndio future cars, wakati si tunapambana na kuchimba mafuta leo, sijui tutamuuzia nani by next ten years soko la mafuta litakuwa limeshuka sana.
Yatatumika kama vilainishi, mafuta hayawezi kosa soko kabisa.. pale wanacheza na kanuni tu 🙂🙂
 
Back
Top Bottom