Sio mchezo..!
Trust me kwa afrika mafuta bado yana buzness afrika till next 100 years to comeHizi ndio future cars, wakati si tunapambana na kuchimba mafuta leo, sijui tutamuuzia nani by next ten years soko la mafuta litakuwa limeshuka sana.
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiriGari mbaya kama pumb.u la chepe.
Hizi ndio future cars, wakati si tunapambana na kuchimba mafuta leo, sijui tutamuuzia nani by next ten years soko la mafuta litakuwa limeshuka sana.
Kaanzisha yake ya upigaji!Uongozi wetu wa visasi unatufanya tuwe masikini!! Jiwe kaingia badala ya kuendeleza mirada ya Gesi akaona mkwere alikula hivyo yeye asingepeta kitu ndio sababu ya kutoendeleza miradi ya gesi; akaanzisha miradi yake naye apate 10%!! Ametuzubaisha mpaka Mosambique wataanza kuchimba gesi na kunyonya yote kwani tuko mkondo mmoja!! NG'OMBE WA MASIKINI KWELI HAZAI!!
Kaanzisha yake ya upigaji!
Sasa hili gari lina ukali gani?
Pumbu la chepe likoje?Gari mbaya kama pumb.u la chepe.
Yatatumika kama vilainishi, mafuta hayawezi kosa soko kabisa.. pale wanacheza na kanuni tu ππHizi ndio future cars, wakati si tunapambana na kuchimba mafuta leo, sijui tutamuuzia nani by next ten years soko la mafuta litakuwa limeshuka sana.