Hii ndio combination ya dawa iliyonitibu upele wa chini ya kisogo utokanao na kunyoa

Hii ndio combination ya dawa iliyonitibu upele wa chini ya kisogo utokanao na kunyoa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Vipele hivi vimekuwa janga kupelekea kutengeneza nundu la miele kwenye vichwa vya watu.

Dawa:
1: Povidone Iodine (topical antiseptic solution)
PXL_20240903_035430028.jpg


2: Mupirocin ointment
PXL_20240903_035413437.jpg


Unaweza changanya pamoja mkononi na ukapaka kwenye vipele vyako.

Paka mara mbili kwa siku. Hakikkisha pale unaponyoa mnyooaji asikwangue sana vipele vyako.

Usiache kutumia pale unapoona vimeanza kupungua. Paka dawa immediately unapotoka kunyoa.

Kikubwa zaidi usiwe unajikuna kuna hapo ndipo uunazidi kuharibu mambo.
 
Kumbe hivi navyo ni issue kubwa!? Kuna mmea ukipaka vinakufa vyote
 
Ebu tuone picha ya before and after....🤔
 
Back
Top Bottom