Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Sep 3, 2024 #1 Vipele hivi vimekuwa janga kupelekea kutengeneza nundu la miele kwenye vichwa vya watu. Dawa: 1: Povidone Iodine (topical antiseptic solution) 2: Mupirocin ointment Unaweza changanya pamoja mkononi na ukapaka kwenye vipele vyako. Paka mara mbili kwa siku. Hakikkisha pale unaponyoa mnyooaji asikwangue sana vipele vyako. Usiache kutumia pale unapoona vimeanza kupungua. Paka dawa immediately unapotoka kunyoa. Kikubwa zaidi usiwe unajikuna kuna hapo ndipo uunazidi kuharibu mambo.
Vipele hivi vimekuwa janga kupelekea kutengeneza nundu la miele kwenye vichwa vya watu. Dawa: 1: Povidone Iodine (topical antiseptic solution) 2: Mupirocin ointment Unaweza changanya pamoja mkononi na ukapaka kwenye vipele vyako. Paka mara mbili kwa siku. Hakikkisha pale unaponyoa mnyooaji asikwangue sana vipele vyako. Usiache kutumia pale unapoona vimeanza kupungua. Paka dawa immediately unapotoka kunyoa. Kikubwa zaidi usiwe unajikuna kuna hapo ndipo uunazidi kuharibu mambo.
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 17,640 Reaction score 22,748 Sep 3, 2024 #2 Inafaa na vipele vya ndevu
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Sep 3, 2024 Thread starter #3 ze-dudu said: Inafaa na vipele vya ndevu Click to expand... Inafaa
Baba Vladmir JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 373 Reaction score 627 Sep 4, 2024 #4 Kumbe hivi navyo ni issue kubwa!? Kuna mmea ukipaka vinakufa vyote
Palmoni JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 1,968 Reaction score 3,760 Sep 5, 2024 #5 Baba Vladmir said: Kumbe hivi navyo ni issue kubwa!? Kuna mmea ukipaka vinakufa vyote Click to expand... Ni bei gani huo mmea??
Baba Vladmir said: Kumbe hivi navyo ni issue kubwa!? Kuna mmea ukipaka vinakufa vyote Click to expand... Ni bei gani huo mmea??
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Sep 5, 2024 #6 Ebu tuone picha ya before and after....🤔