Hii Ndio CV nzito na iliyoshiba ya Ridhiwan Kikwete

Kama unajeuri yaweke na alipokwenda kufanya Masters UK
Niliwahi kusikia UK palikuwa na pilikapilika nyingi sana.

Anyway, mie napita tu. ila Lucas aongea asoyafahamu yaani aongea juujuu.
 
Pumba tupu
 
Unejaza cv kubwa ya ziada ni Mtu lakini sio Bin Adam
 
Umenipotezea muda wa kusoma. Ungeomba tu cheo . Kwisha
 
Inabidi upake na ky makilioni ili azidi kujiongezea CV ya kukukamulia ndimu
 
wewe kama sio shoga basi utakuja kuwa shoga siku za mbele, unakuja humu kumsifia basha wako. Rizwan amepata ubunge kwa nguvu ya baba yake, hana hata sifa moja ya kuwa karani. Au umelipwa uje umpambe humu? Yeye bora akaaibe kura tu kuliko kupoteza muda wake na ujinga kama huu.
 
Mungu akusamehe sana maana hujui ulitendalo
 
Na hii hapa ni CV ya chawa Lucas Mwashambwa.
1. Alisoma shule moja huko Itaka haina madawati. Baadaye akajiunga na shule ya kata Ya sekindari Itaka na kutunukiwa cheti point 29 Kama yule waziri wa zamani.
Alipoona mambo hayaendi alihamia Makunguru mjini Mbeya na kianzisha tawi la chama chake jirani na klabu ya pombe za kienyeji Makunguru kwa ahadi ya elfu Saba kila wiki kwa ajili ya chakula , vocha na Kodi ya nyumba.
Lucas Mwashambwa ameoa na ana watoto wanasoma shule ya Makunguru mjini Mbeya.
Mtoto wake wa kwanza amempa jina la Mwagwajima na WA pili amempa jina la Mwampina kwa heshma kubwa ya viongozi Hawa wasiotetereka kimsimamo, wa mwisho amempa jina la Mwandugai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…