Hii Ndio CV nzito na iliyoshiba ya Ridhiwan Kikwete

Hawezi kuwa ameoa, labda ameolewa
 
Nadhani uchawa nacho ni kipaji

Yaani ni matope tupu
 
Mbona hujajadili ufaulu wa Ridhiwqni pale UDSM vs the Beno Malisa factor
 
Kwanini umeandika sifa zote hizi kwa riz MokoπŸƒπŸƒ haya sema na yakwako Sasa


HUNA HAYA
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Si wanadai licha ya kufungia kamba pia Ritz1 na six walimvua ubingwa.

Stuxnet
 
Huyu alipokuwa forodhani shule ya msingi alikuwa mnyonge sana
Huwa nahivujia kwa kuwapelekesha watoto wa vibopa pale,mpaka leo hii hawasahau

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…