Hii Ndio CV nzito na iliyoshiba ya Ridhiwan Kikwete

Wivu na chuki binafsi ndio zinakusumbua
 
Uongozi unatoka kwa Mungu
 
Wivu tu ndio unao kusumbua.kwa nini usiweke hapa huo ushahidi?
 
Weka GPA Yake hapa acha kuropoka. Kwanza wewe hata hapo UDSM hukupita unaandika ujinga tu hapa. Unajua uchaguzi uliomweka ridhiwani madarakani hapo facult of law ulikuwaje?
Tuachie ujinga wako hapa.
Kwanini wewe ndiye usiweke ushahidi unayebisha nilichoandika hapa?
 
Umesahau. Ni mdini hatari.
 
Mambo ya Ufalme kurithishana uongozi.....Akitoka Samiah ,anakuja kupiga mtu mwingine then kijiti anakabidhiwa RIZIMOKO.
 
umejitahidi kumuelezea jamaa sio kawaida kuna kitu.
Wanajidanganya kuwa atakua Rais wa jmt yeye na makamba junior!!

Nawahakikishia

Ni rahisi sana Mimi kuwa Rais wa Tanzania kuliko hao vijana wawili!

Walau Mimi naweza fuata maelekezo Toka frequency ya juu zaidi ya the state kuliko hai ambao watafuata maelekezo ya wanafamilia ya ukoo wao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…