Hii Ndio CV nzito na iliyoshiba ya Ridhiwan Kikwete

Headless chicken!
 
Kuna haja gani ya kuelezea cv ya mtoto wa rais? Mtoto wa rais hawezi kukosa vitu hivyo kwa kuwa baba yake tayari amemuandalia mapito ya kufikia cv hiyo. Elezea cv ya mtu ambaye wazazi wake si watu maarufu kwenye uongozi, si vigogo. Halafu unaeleza cv yake kwani amekuwa waziri mkuu? Amekuwa rais?
 
Kwani wewe nani kakuzuia kuelezea cv za wengine
 
Andiko Bora la muda woteeee by the way Lucas mwashambwa unajua kumpamba mtu🙌

Nimejikuta naangua kicheko maana wewe ni propagandist una jua Sana kusifia uwapendao.

Naomba ukipata muda uandae na ya kigwangala,bashe, bashungwa,biteko, mpina,gwajima na jafo

Naomba kuwasilishaaa
 
AISEEEE
 
Pumbavu kabisa, kutwa kusifia watu, wazazi wako au ndugu zako hawana jema kwako? shenzi type
 
Ana laana ya wazazi wake huyu chizi
 
Nehememia na Beno ndio walimbeba Riz,Udsm , Nehememia kwa sasa ni jaji na Beno ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe,rafiki wa riz mwingine udsm ni ,Balozi Mavura ( S.Korea ) na Balozi Mwamweta ( Germany )
 
Ni kukosa maelezi mazuri ya wazazi, wazazi wake wangetumia uzazi wa mpango wasingezaa hii takataka.
 
Umeiweka vzr pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…