Hii Ndio CV nzito na iliyoshiba ya Ridhiwan Kikwete

Nehememia na Beno ndio walimbeba Riz,Udsm , Nehememia kwa sasa ni jaji na Beno ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe,rafiki wa riz mwingine udsm ni ,Balozi Mavura ( S.Korea ) na Balozi Mwamweta ( Germany )
Mheshimiwa anabebwa kwa uwezo wake wa kiuongozi alionao
 
Ni hivi ridhiwani tumemaliza wote udsm 2005 akiwa mwaka 3 pale faculty of law jamaa alidisko ,amshukuru sana Dean wa faculty pro ibrahim juma ndiye alimuokoa kwa kuwaambia akina lamwai wamuongezee marks .
Huyo jamaa anabebwa na jina la baba yake
 
Huyo ni VIP member wa wauza madawa ya kulevya ulimwengu...hiyo ni cv yake kubwa kuliko zote ....wakubwa zake wanatamani mtu wao achukue nchi ili waigeuza Tanzania kuwa even peace ya wauza dawa za kulevya ulimwengu kama kipindi cha baba yake.
 
Daaah msameheni
Hili jitu mada zake za hovyo hovyo tu yaani hata kama ni diversity ya mawazo kwa kweli sio hivyo .
Ila si zani kama huyu ana mawazo mtu alishaandika eti amechukia kwa Mhe Mpina kumuadress Samia kama Mwanamke.
Eti kwanini amemuita samia ni mwanamke .
Huyu jamaa ni chizi
 
Atakuwa ana matatizo ya akili, sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…