Hii Ndio CV nzito na iliyoshiba ya Ridhiwan Kikwete

Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendalo
 
Huyo ni VIP member wa wauza madawa ya kulevya ulimwengu...hiyo ni cv yake kubwa kuliko zote ....wakubwa zake wanatamani mtu wao achukue nchi ili waigeuza Tanzania kuwa even peace ya wauza dawa za kulevya ulimwengu kama kipindi cha baba yake.
Acha kuwachafua watu kwa ujinga wako hapa wewe
 
Ni hivi ridhiwani tumemaliza wote udsm 2005 akiwa mwaka 3 pale faculty of law jamaa alidisko ,amshukuru sana Dean wa faculty pro ibrahim juma ndiye alimuokoa kwa kuwaambia akina lamwai wamuongezee marks .
Huyo jamaa anabebwa na jina la baba yake
Acha uongo na wivu wako hapa wewe.
 
 
Wazazi wa huyu walipata hasara kabisa.Ni aibu mwanaume mzima kujikombakomba.
 
YOU must be a moron to to write such an article
 
UDSM alipata gentleman pass, akaenda IMMA advocate kupata ujuzi , watu wa pale IMMA wanasema IQ yake ilikuwa ndogo sana. Alibebwa kwa sababu Baba yake alikuwa Raisi kipindi hicho. Akili ndogo sana, kwa nini yule Mbunge wa Jimbo lake la Chalinze aliugua ghafura akafa na yeye Ridhwani Kikwete kuchukuwa mikoba. Ukitegua hicho kitendawili nitakupa million moja.
 
Manii zilizokutengeneza wewe zilikuwa na UTI sugu, siyo kwa upumbavu huu unaoendekeza.
 
Wapi amewahi kufanya kazi kwenye ngazi ya maamuzi kwenye multinational level companies?
Wapi aliwahi kufanya kazi nje ya siasa na kufanya maamuzi yaliyochangia kukua kwa kampuni au biashara binafsi.
Anathibitishaje kama uwepo wake hapo sio kwasababu ya influence ya Baba yake?
 
Sasa kama hiyo ndio CV unayoisifia ukiona CV zinazotisha za baadhi ya watanzania mitaani huku si ndio utakufa kabisa.
 
Hivi wewe jamaa una marinda kweli huko nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…