Hii Ndio CV nzito na iliyoshiba ya Ridhiwan Kikwete

Very sooon ridhiwana atatoa posa kwa mzee mwashambwa ....maana kijana wake una uchawa sana
 
Alisoma na Tulia na alikuwa ana copy notes kwake ndio connection kwa baba yake akiwa rais alimteua kuwa naibu mwanasheria mkuu wa serikali,inaendelea mpaka alipo sasa Tulia.
 
Alisoma na Tulia na alikuwa ana copy notes kwake ndio connection kwa baba yake akiwa rais alimteua kuwa naibu mwanasheria mkuu wa serikali,inaendelea mpaka alipo sasa Tulia.
Unafikiri chuo kikuu ni sawa na Primary
 
Kaa kwa kutulia na wala usiwe na presha maana CV bado inaendelea
 
Acha wivu wako hapa wewe. Unafikiri sheria wanasoma vilaza kama wewe . Mheshimiwa Ridhiwani ni akili kubwa sana
 
Hiyo CV bado inaendelea . Ni ndefu na huwezi kuimaliza kwa siku moja.
Nani alimuubia kura iman mahugira madega huko chalinze kama siyo riziwani? Nani alimpa yule mama aliyekujaa kuwa DED Masasi ml 50 ili ajitowe kwenye uchaguzi wa ndani kama siyo riziwani?
 
Nani alimuubia kura iman mahugira madega huko chalinze kama siyo riziwani? Nani alimpa yule mama aliyekujaa kuwa DED Masasi ml 50 ili ajitowe kwenye uchaguzi wa ndani kama siyo riziwani?
Ushahidi upo wapi au unajiropokea tu hapa kama mlevi wa gongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…