Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye


Nape Nape naomba ujitokeze useme chochote!! Ingekuwa ni zile enzi za utoto ningesema 'kama wewe ni mwanaume hebu choma hapa' wakati umeweka mchanga kwenye mkono, hii nikimtaka Nape atokezee kwa ujasiri hapa JF au hata jukwaani apinge hii kwa nguvu zote, au kama hiyo hawezi namuomba Nape aseme hivi 'utapita karibu na nyumbani tu' afu wakati huo anaishia taratibu huku shingo likiwa limelegea. Ikitokea amebisha hapa basi mimi nitarudisha kadi ya CHADEMA! na kuanzia leo aitwe kwa jina lake halali NAHUM!! akilikataa jina hili pia nitaleta class attendence hapa!!
 
kumbe aliandaliwa kuwa msama hovyo tangia akiwa ana miaka 18!

haibu tupu, mtu anamaliza elimu ya secondari , hana hata ujuzi wa kazi, halafu anenda kusoma chuo cha sayansi ya jamaii kivukoni badala ya DSA, journalism, Dar Tech,medical ass NK.

hivi akienda na CV kama hii pale UIngereza au Israel, wewe unadhania atapata kazi gani kama siyo lavaratory attendant!
 

Pe3ngine tuanze na Mnyika atuambie nini siri ya mafanikio yake pamoja na kukimbia shule? Mbowe pamoja na kuishia form four tena kwakupata ziro leo ndo mwenyekiti wa CHADEMA wakijibu hawa tutamleta Nape hapa
 
Atakuwa alifanya mtihani kama private candidate na Butimba itakuwa kilikuwa kituo cha kufanyia mitihani ya form six pia. It is just my imagination.
 

Atakwambia yote yanawezekana ukiwa ndani ya CCM, jiunge na CCM cheti kikiwa kuchafu kitasafishwa na kuwa kisafi.

Angalia CV ya LIVINGSTONE LUSINDE, halafu fananisha na mafanikio aliyonayo kwa kuwa tu yu ndani ya CCM.

Ndani ya CCM si lazima uende darasani, unaweza kukaa ofisini tu ukapata cheti kama cha u-DR wa DHAIFU, eti wanauita udoctor wa heshima!
 
Akikupa hayo matokeo utakutana na kiambatanisho hapo chini, sasa jiulize F ya Maths na bado amesoma EGM
NAPE NNAUYE
DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D, CHEM D, PHY D, CIV F

Sijaona hata credit moja hapo! A level kaendaje? Kama ali reseat si tuambiwe?
 

Mkuu mtanzania umeeleza kitu cha maana sana hapa. wengi wetu tunaishia kuchekana wakati wenzetu wanapiga hatua. Tanzania hatupo aggressive katika masomo na tafiti, tunaridhika haraka na umaskini wetu na kuwa wepesi kutafuta visingizio. katika dunia ya leo hakuna namna tutasema elimu si muhimu, ni kutokana na hali zetu duni na kutowajibika ndiyo vinatufanya kutafuta visingizio rahisi rahisi.
 

Aje wapi mlopokaji tu yule like makamba senior!
 
kweli jamani tanzania ifurahie kufa kwa ukomunisti duniani na kutokomea ujamaa na kujitegemea !
sasa watu kama nape wapo zaidi ya million ndani ya CCM. wana vyeo vikubwa wakati elimu zao ni za mazabe mazabe matupu. ingekuwa ile enzi za chama chashika hatamu, huyu jamaa angekuwa antembea na body guady wawili wawili! ndio maana nchi yetu haijengeki maana kuna wahitimu wa kula pesa bila kujua zinatoka wapi wengi sana badala ya kuwa na wahitimu wajuao nini kifanyike ili tupate mapato mengi.
 
  • Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC

Hili si la kweli kwa kuwa Butimba TTC kirefu chake ni Butimba Teachers Training Collage, hiki ni chu cha ualimu kwa ngazi ya Diploma kilichopo mkoani Mwanza.Ndani ya chuo hiki kuna sekondari ya Butimba mazoezi ambayo ina kidato cha kwanza hadi cha nne tu. Hivyo basi ,nakanusha kuwa Nape hakusoma Butimba TTC kwani hakuna sekondari kwa ajili ya Advanced katika chuo hicho.Unless awe alifanya kama centre ya kufanyia mitihani kama Private Candidate.
 
Tuanzie hapa form 4

NAPE NNAUYE
SEX M DIV IV PTS 29 KISW D HIST D GEOG D ENGL F B/MATH F BIOL D CHEM D PHY D CIV F
-----------------------
JOHN MNYIKA
SEX M DIV I PTS 7 PHY A CHEM A BIOL A CIV A ENGL A GEOG A HIST A B/MATH A KISW A B/KNOW A

Maguta na maji
 
Kabla ya kuwasha mziki wa Reggae, hakikisha una miguu mizima ya kurukaruka la sivyo mziki ukioanzisha utakushinda.
 
Ama kweli ndege mjanja
hunasa katika tundu bovu kabisa, ujanja wa Nauje wote utaishia katika
uzi huu.

Kwa uzi huu nadhani ID yake ya Virified user itakuwa imepata natural
death.

Nape hawezi kujitokeza kuelezea elimu yake. Mtasubiri mpaka Yesu atarudi...
 
Hizi thread nyingine ni burudani tu mkuu. Usizichukulie serious sana. Hatuwezi muda wote kuwa tunaongea mambo serious tu, lazima wakati mwingine tunapiga stroy za kijiweni kama hizi...

Ama kweli umenena vyema mkuu, manake nlikuwa nashangaa sasa tumehamia kujadili watu badala ya hoja.... na hizi elimu na matokeo haya ya form four sijui miaka 20 ijayo kutakuwaje kama tutaendelea hivi.... Hawa viongozi wetu sasa waongelee tunaboreshaje elimu sio mipasho majukwani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…