utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
Ambatanisha na ufaulu wake kwa kila ngazi ya elimu
tunataka aweke alama alizozipata A'level na O'level, hakuna aliyeomba CV hapa! aonyeshe masomo yake alifaulu vipi!
By the way nape yupo mbona mnaleta ukada hapa si aje mwenyewe? hata sisi ambao hatuna vyama tupo interested na kujua perfomance yake equally alivyokuwa anamponda mnyika!
kama unashindwa kuelewa historia ya elimu na historia ya maisha una matatizo.weka na ya kwako tuone, mnyika alikwepa jibu akajitungia swali lake lingine kabisa akaamua kutoa historia ya maisha yake badala ya kueleza kiwango chake cha elimu
kama unashindwa kuelewa historia ya elimu na historia ya maisha una matatizo.
Nashangaa wakuuDiploma ya mwaka mmoja au certificate?
hapo ndio watu wanapodondokewa na kitu chenye ncha kali.. tunaomba na wengine mnapokuja na siasa za elimu zenu msisahau kuonyesha kipengele hicho yaani KIWANGO CHA JUU CHA ELIMU YAKO, HATA KAMA STD SEVEN NDIO MAJAALIWA YAKOMwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe
2pe matokeo yake ya olev na a level ili cv ikamilike
BUTIMBA TTC ni chuo cha ualimu lakini ni center ya kufanyia mitihani kwa wanafunzi ambao hawako mashuleni.,na hili ni kwa sababu Mheshimiwa Nape hakuwa ameendelea na sekondari kwa mtindo wa Boarding School.,kwa kuwa hakupenda kuendelea kukaa boardingi hivyo aliyasoma masomo yake ya high level akiwa nyumbani na kisha kwenda chuoni hapo kufanya mtihani wa form six.
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika "thesis" iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)
- Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
- Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
- Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
- Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu 3 kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
- Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
- Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
- Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu