Hii ndio dawa ya ma - Ex

Kwani wingi unaanzia ngapi?? eti wawili tu... Sasa wawili ni umoja??

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app

Bado mtoto mdogo, akikua ataacha. By the way wasichana wengi hata kama keshakua nao watano, atasema wawili tu. Mwanamke kama wewe sio wa kwanza kufanya nae, atakua na uhakika gani alikua na wawili tu na yeye ni wa tatu? Kwa vile kamwambia? Hahahaa
 
Merina Merina.....
NAKUFAHAM wewe... MUMEO si alikua Askari Magereza Gereza la Uyui Tabora.....
Vp mmeshahama kule??????

Naona cku hizi nywele unaweka dawa, madiko diko nn.... Safi sana. Karibu dar.

#Chief Eng
Mi bado nipo tabora na askari magereza wangu.... mara ya mwisho nakuona ulihamia dar ulishikwa ugoni... Umeacha hiyo tabia yako... Haya turudi kene mada.. Kuingiza personal life meanz maada imekushinda

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Bado mtoto mdogo, akikua ataacha. By the way wasichana wengi hata kama keshakua nao watano, atasema wawili tu. Mwanamke kama wewe sio wa kwanza kufanya nae, atakua na uhakika gani alikua na wawili tu na yeye ni wa tatu? Kwa vile kamwambia? Hahahaa
Hapo sasa kama gal aetembea na wanaume 30 atanzaje kukwambia ukweli lazima makali yapungue unatoa 0 inabaki 3 na utakubali coz kasema but not reality
 
Iyo Inaitwa "Kama Mbwaiii Mbwaiiii" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WALA USINIPOTEZEE MUDA WANGU NI HIVI MAMA "UMEANDIKA POROJO POROJO TUU HUELEWEKI KABISAA... NGELI YENYEWE UNAANDIKA BROKEN SI BROKEN.... UTANIFANYA NILIE SASA.... AIIIIIIIIIII!!!!!!

#Chief Eng

Asante kwa kuisoma ngeli, najifunza; it isnt my mother tongue.
 
unafikili kumuacha c ni kazi rahisi, mtu mmeishi naye chuo.miaka 3 hadi 5.umetoa mimba zake kama mbili hivi...sio rahisi.kumpotezea hata kama umeolewa.....
 
IMetoa ma magaga kama yale ya kwenye kisigino
 
Mkuu utamu wa lile tendo haupo kwenye papuchi, ila upo kwenye hisia zako wewe. Na pia papuchi haiwezi kuwa tepetepe kwa muda wote kama unavyodai.

Ile ipo kama mpira inatanuka na kusinyaa, ndiyo maana pale panapita mtoto. halafu panarudi. umemshambulia vikali huyo dada wawatu. Kwani huyo wako tanguu waanze kumdonyoa utamu umeisha?? Au umemkuta bikra?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…