Hii ndio dawa ya uchumi wetu mbovu kuanzia ngazi ya kaya hadi taifa

Hii ndio dawa ya uchumi wetu mbovu kuanzia ngazi ya kaya hadi taifa

aiseee ije hiyo sikuu...
Tanganyika itakuwa huru,
Nuru itaangaza katika kila chaka la ufisadi,
Ustadi utatawala ktk kila pembe ya nchi hii,
hivyo kuhitimisha utawala dhalimu,
daima CCM itakuwa imekufa,
Kifo kisicho na kilio wala kujuta,
Ukuta wa wezi tutakuwa tumeuvunja,
Vutia hatamu kwa wananchi wenye kufia nchi,
CCM kwa heri ya kuonana!!


Hahahahahahahaha CCm mbona huna huruma? mbona unaiba mpaka fito za nyumba yetu, maana udongo ulishauza kitambo sana! 2015 ama zako ama zetuuuuu. Peoples powerrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom