Hii Ndio Demokrasia ya Uganda Mikwaju kwa raia

Hii Ndio Demokrasia ya Uganda Mikwaju kwa raia

a.k.a_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
292
Reaction score
113
Nikiangalia hii Video ya juzi Kampala nimeamini Hawa jirani zetu wana safari ndefu kuelekea Uhuru wa kweli....
 
Duh! Demokrasia Africa bado huu utumwa naona umerudi kwa namna nyingine
 
Huyo polisi naye anajiamini vp?

Akitokea raia akamrukia na kumshusha lazima aumie
 
Back
Top Bottom